Ezra 10:18
Wenye Hatia Ya Kuoa Wake Wa Kigeni
18 aMiongoni mwa wazao wa makuhani, wafuatao walikuwa wameoa wanawake wa kigeni:
Kutoka wazao wa Yeshua mwana wa Yosadaki na ndugu zake: Maaseya, Eliezeri, Yaribu na Gedalia.
Copyright information for
SwhNEN