‏ Ezekiel 47:8

8 aAkaniambia, “Haya maji yanatiririka kuelekea nchi ya mashariki na kushuka mpaka Araba,
Araba hapa ina maana ya Bonde la Yordani.
ambapo huingia Baharini. Yanapomwagikia kwenye hiyo Bahari,
Bahari hapa ina maana ya Bahari ya Chumvi.
maji yaliyoko humo huponywa na kuwa safi.
Copyright information for SwhNEN