‏ Ezekiel 46:14

14 aPia kila siku asubuhi pamoja na hiyo sadaka utatoa sadaka ya nafaka, ikiwa na sehemu ya sita ya efa pamoja na theluthi moja ya hini
Theluthi moja ya hini ni sawa na lita 1.3.
ya mafuta ya kuchanganya na ule unga. Utoaji wa sadaka hii ya nafaka kwa Bwana ni amri ya daima.
Copyright information for SwhNEN