‏ Ezekiel 45:22

22 aKatika siku hiyo mkuu anayetawala atatoa fahali kuwa sadaka ya dhambi kwa ajili yake mwenyewe na kwa ajili ya watu wote wa nchi.
Copyright information for SwhNEN