‏ Ezekiel 43:4-5

4 aUtukufu wa Bwana ukaingia hekaluni kwa kupitia lango linaloelekea upande wa mashariki. 5 bKisha Roho akanichukua na kunileta katika ule ua wa ndani, nao utukufu wa Bwana ulilijaza Hekalu.

Copyright information for SwhNEN