Ezekiel 39:4-5
4 aUtaanguka kwenye milima ya Israeli, wewe pamoja na vikosi vyako vyote na yale mataifa yaliyo pamoja nawe. Nitakutoa uwe chakula cha ndege wa aina zote walao nyama na cha wanyama wa mwituni. 5 bUtaanguka katika uwanja, kwa kuwa nimenena, asema Bwana Mwenyezi.
Copyright information for
SwhNEN