‏ Ezekiel 32:9-10

9Nitaifadhaisha mioyo ya mataifa mengi
nitakapokuangamiza miongoni mwa mataifa,
nikikuleta uhamishoni miongoni mwa nchi
ambazo haujapata kuzijua.
10 aNitayafanya mataifa mengi wakustaajabie,
wafalme wao watatetemeka
kwa hofu kwa ajili yako
nitakapotikisa upanga wangu mbele yao.
Siku ya anguko lako
kila mmoja wao atatetemeka
kila dakika kwa ajili ya maisha yake.
Copyright information for SwhNEN