Ezekiel 31:3-4
3 aAngalia Ashuru, wakati fulani ilikuwa mwerezi huko Lebanoni,ukiwa na matawi mazuri ukitia msitu kivuli;
ulikuwa mrefu sana,
kilele chake kilipita majani ya miti yote.
4 bMaji mengi yaliustawisha,
chemchemi zenye maji mengi ziliufanya urefuke;
vijito vyake vilitiririka pale
ulipoota pande zote
na kupeleka mifereji yake
kwenye miti yote ya shambani.
Copyright information for
SwhNEN