Ezekiel 29:3
3 aNena, nawe useme: ‘Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo:
“ ‘Mimi ni kinyume nawe, Farao, mfalme wa Misri,
joka kubwa ulalaye katikati ya vijito vyako.
Unasema, “Mto Naili ni wangu mwenyewe;
niliufanya kwa ajili yangu mwenyewe.”
Copyright information for
SwhNEN