‏ Ezekiel 16:42

42 aNdipo ghadhabu yangu dhidi yako itakapopungua na wivu wa hasira yangu utaondoka kwako. Nitatulia wala sitakasirika tena.

Copyright information for SwhNEN