‏ Ezekiel 12:14

14 aWote wanaomzunguka nitawatawanya pande zote, watumishi wake na majeshi yake yote, nami nitawafuatilia kwa upanga uliofutwa.

Copyright information for SwhNEN