‏ Exodus 6:20

20 aAmramu akamwoa Yokebedi, shangazi yake, ambaye alimzalia Aroni na Mose. Amramu aliishi miaka 137.
Copyright information for SwhNEN