‏ Exodus 6:2-3

2 aPia Mungu akamwambia Mose, “Mimi ndimi Bwana. 3 bNilimtokea Abrahamu, Isaki na Yakobo kama Mungu Mwenyezi,
Mungu Mwenyezi hapa ni jina la Kiebrania, El-Shaddai (yaani Mungu Mwenye utoshelevu wote).
ingawa sikuwajulisha Jina langu, Yehova, Mimi mwenyewe sikujitambulisha kwao.

Copyright information for SwhNEN
The selected Bible will not be clickable as it does not support the Vocabulary feature. The vocabulary is available by hovering over the verse number.