‏ Exodus 6:16-18

16 aHaya ndiyo majina ya wana wa Lawi kufuatana na orodha zao: Gershoni, Kohathi na Merari. Lawi aliishi miaka 137.
17 bWana wa Gershoni kwa koo, walikuwa Libni na Shimei.
18 cWana wa Kohathi walikuwa Amramu, Ishari, Hebroni na Uzieli. Kohathi aliishi miaka 133.
Copyright information for SwhNEN