‏ Exodus 38:8

Sinia La Kunawia

(Kutoka 30:18)

8 aAkatengeneza sinia la shaba lenye kitako cha shaba kutoka kwa vioo vya shaba vilivyotolewa na wanawake waliohudumu pale ingilio la Hema la Kukutania.

Copyright information for SwhNEN