‏ Exodus 35:2-3

2 aKwa siku sita, mtafanya kazi, lakini siku ya saba itakuwa takatifu kwenu, Sabato ya kupumzika kwa Bwana. Yeyote atakayefanya kazi yoyote siku hiyo ni lazima auawe. 3 bMsiwashe moto mahali popote katika makazi yenu siku ya Sabato.”

Copyright information for SwhNEN