‏ Exodus 33:13-15

13 aIkiwa umependezwa nami, nifundishe njia zako ili nipate kukujua, nami nizidi kupata kibali mbele zako. Kumbuka kuwa taifa hili ni watu wako.”

14 b Bwana akajibu, “Uso wangu utakwenda pamoja nawe, nami nitakupa raha.”

15 cKisha Mose akamwambia, “Kama Uso wako hauendi pamoja nasi, usituondoe hapa.
Copyright information for SwhNEN