Exodus 30:13
13 aKila mmoja anayekwenda upande wa wale waliokwisha hesabiwa atatoa nusu shekeli, ▼▼Nusu shekeli ni sawa na gramu 6.
kulingana na shekeli ya mahali patakatifu, ambayo ina uzito wa gera ishirini. ▼▼Gera 20 ni sawa na shekeli moja au gramu 12.
Hii nusu shekeli ni sadaka kwa Bwana.
Copyright information for
SwhNEN