Exodus 3:4-5
4 a Bwana alipoona kuwa amegeuka ili aone, Mungu akamwita kutoka ndani ya kile kichaka, “Mose! Mose!”
Naye Mose akajibu, “Mimi hapa.”
5 bMungu akamwambia, “Usikaribie zaidi. Vua viatu vyako, kwa maana mahali unaposimama ni patakatifu.”
Copyright information for
SwhNEN