‏ Exodus 3:1

Mose Na Kichaka Kinachowaka Moto

1 a bBasi Mose alikuwa anachunga mifugo ya Yethro mkwewe, kuhani wa Midiani. Mose akapeleka mifugo mbali nyuma ya jangwa, naye akafika Horebu, mlima wa Mungu.
Copyright information for SwhNEN