‏ Exodus 29:8-9

8 aWalete wanawe na uwavike makoti, 9 bpia uwavike zile tepe za kichwani. Ndipo uwafunge Aroni na wanawe mishipi. Ukuhani ni wao kwa agizo la kudumu. Kwa njia hii utamweka wakfu Aroni na wanawe.

Copyright information for SwhNEN