‏ Exodus 29:1

Kuweka Wakfu Makuhani

(Walawi 8:1-36)

1 a“Hili ndilo utakalofanya ili kuwaweka wakfu makuhani ili wanitumikie mimi katika kazi ya ukuhani: Chukua fahali mchanga mmoja na kondoo dume wawili wasio na dosari.
Copyright information for SwhNEN