‏ Exodus 28:1

Mavazi Ya Kikuhani

(Kutoka 39:1-7)

1 a“Mtwae Aroni ndugu yako aliyeletwa kwako kutoka miongoni mwa Waisraeli, pamoja na wanawe Nadabu, Abihu, Eleazari na Ithamari, ili wanitumikie katika kazi ya ukuhani.
Copyright information for SwhNEN