‏ Exodus 27:8

8 aTengeneza madhabahu yawe na uvungu ndani yake ukitumia mbao. Utaitengeneza sawasawa na vile ulivyoonyeshwa mlimani.


Copyright information for SwhNEN