Exodus 26:1
Maskani Ya Mungu
(Kutoka 36:8-38)
1 a“Tengeneza maskani kwa mapazia kumi ya kitani iliyosokotwa vizuri na nyuzi za rangi ya buluu, za zambarau, na za rangi nyekundu, naye fundi stadi atatarizi makerubi kwenye mapazia hayo.
Copyright information for
SwhNEN