‏ Exodus 24:15-16

15 aMose alipopanda juu mlimani, wingu liliufunika huo mlima, 16 bnao utukufu wa Bwana ukatua juu ya Mlima Sinai. Kwa muda wa siku sita wingu lilifunika mlima, na siku ya saba Bwana akamwita Mose kutoka katikati ya lile wingu.
Copyright information for SwhNEN