Exodus 23:6-7
6 a“Usiwanyime haki watu wako walio maskini katika mashtaka yao. 7 bUjiepushe na mashtaka ya uongo, wala usimuue mtu asiye na hatia au mtu mwaminifu, kwa maana sitamhesabia hana hatia yeye aliye na hatia.
Copyright information for
SwhNEN