‏ Exodus 23:5

5 aUkiona punda wa mtu anayekuchukia ameanguka na mzigo wake, usimwache hapo alipoangukia; hakikisha kuwa umemsaidia.


Copyright information for SwhNEN