‏ Exodus 20:18-19

Watu Wanaogopa

(Kumbukumbu 5:22-33)

18 aWatu walipoona ngurumo na radi, na kusikia mlio wa tarumbeta, na kuuona mlima katika moshi, walitetemeka kwa woga. Wakasimama mbali 19 bna wakamwambia Mose, “Sema nasi wewe mwenyewe, nasi tutakusikiliza. Lakini usimwache Mungu aseme nasi, la sivyo tutakufa.”

Copyright information for SwhNEN