‏ Exodus 17:1

Maji Kutoka Kwenye Mwamba

(Hesabu 20:1-13)

1 aJumuiya yote ya Israeli ikaondoka kutoka Jangwa la Sini, ikisafiri kutoka sehemu moja hadi nyingine kama Bwana alivyoagiza. Wakapiga kambi huko Refidimu, lakini hapakuwa na maji ya watu kunywa.
Copyright information for SwhNEN