‏ Exodus 15:22-24

Maji Ya Mara Na Elimu

22 aKisha Mose akawaongoza Israeli kutoka Bahari ya Shamu na kuingia katika Jangwa la Shuri. Kwa siku tatu walisafiri jangwani bila kupata maji. 23 bWalipofika Mara, hawakuweza kunywa maji yake kwa sababu yalikuwa machungu. (Ndiyo sababu mahali hapo panaitwa Mara
Mara maana yake ni Chungu.
)
24 dKwa hiyo watu wakamnungʼunikia Mose, wakisema, “Tunywe nini?”


Copyright information for SwhNEN
The selected Bible will not be clickable as it does not support the Vocabulary feature. The vocabulary is available by hovering over the verse number.