‏ Exodus 1:1-4

Waisraeli Waonewa

1 aHaya ndiyo majina ya wana wa Israeli ambao walikwenda Misri na Yakobo, kila mmoja akiwa pamoja na jamaa yake: 2Reubeni, Simeoni, Lawi na Yuda; 3Isakari, Zabuloni na Benyamini; 4 bDani na Naftali, Gadi na Asheri.
Copyright information for SwhNEN