‏ Esther 4:1

Mordekai Amshawishi Esta Kusaidia

1 aMordekai alipojua yote yaliyokwisha kufanyika, alirarua mavazi yake na kuvaa nguo za magunia na kujipaka majivu, akaenda mjini, akiomboleza kwa sauti na kwa uchungu.
Copyright information for SwhNEN