‏ Ephesians 5:7-11

7Kwa hiyo, msishirikiane nao.

8 aKwa maana zamani ninyi mlikuwa giza, lakini sasa ninyi ni nuru katika Bwana. Enendeni kama watoto wa nuru 9 b(kwa kuwa tunda la nuru hupatikana katika wema wote, haki na kweli), 10 cnanyi tafuteni yale yanayompendeza Bwana. 11 dMsishiriki matendo ya giza yasiyofaa, bali yafichueni.
Copyright information for SwhNEN
The selected Bible will not be clickable as it does not support the Vocabulary feature. The vocabulary is available by hovering over the verse number.