Ephesians 5:22-24
Mafundisho Kuhusu Wake Na Waume
22 aNinyi wake, watiini waume zenu kama kumtii Bwana. 23 bKwa maana mume ni kichwa cha mkewe kama vile Kristo alivyo kichwa cha Kanisa, ambalo ni mwili wake, naye Kristo ni Mwokozi wake. 24 cBasi, kama vile Kanisa linavyomtii Kristo, vivyo hivyo na wake nao imewapasa kuwatii waume zao kwa kila jambo.
Copyright information for
SwhNEN