‏ Ephesians 3:3-5

3 ayaani, ile siri iliodhihirishwa kwangu kwa njia ya ufunuo, kama nilivyotangulia kuandika kwa kifupi. 4 bKwa kusoma haya, basi mtaweza kuelewa ufahamu wangu katika siri ya Kristo. 5 cSiri hii haikudhihirishwa kwa wanadamu katika vizazi vingine kama vile sasa ilivyodhihirishwa na Roho kwa mitume na manabii watakatifu wa Mungu.
Copyright information for SwhNEN