‏ Ecclesiastes 7:7-10


7 aDhuluma humfanya mtu mwenye hekima kuwa mpumbavu,
nayo rushwa huuharibu moyo.

8 bMwisho wa jambo ni bora kuliko mwanzo wake,
uvumilivu ni bora kuliko kiburi.
9 cUsiwe mwepesi kukasirika rohoni mwako,
kwa kuwa hasira hukaa kifuani mwa wapumbavu.

10Usiseme, “Kwa nini siku za kale zilikuwa bora kuliko siku hizi?”
Kwa maana si hekima kuuliza maswali kama hayo.
Copyright information for SwhNEN