Ecclesiastes 7:11-12
11 aHekima, kama ulivyo urithi, ni kitu chema
na huwafaidia wale walionalo jua.
12Hekima ni ulinzi kama fedha ilivyo ulinzi,
lakini faida ya maarifa ni hii:
kwamba hekima huhifadhi maisha ya aliye nayo.
Copyright information for
SwhNEN