‏ Ecclesiastes 6:1-2

1Nimeona ubaya mwingine chini ya jua, nao unalemea sana wanadamu: 2 aMungu humpa mwanadamu utajiri, mali na heshima, hivyo hakukosa chochote moyo wake unachokitamani. Lakini Mungu hamwezeshi kuvifurahia, badala yake mgeni ndiye anayevifurahia. Hili ni ubatili, ni ubaya unaosikitisha.

Copyright information for SwhNEN