‏ Ecclesiastes 2:15

15 aKisha nikafikiri moyoni mwangu,

“Hatima ya mpumbavu itanipata mimi pia.
Nitafaidi nini basi kwa kuwa na hekima?”
Nikasema moyoni mwangu,
“Hili nalo ni ubatili.”
Copyright information for SwhNEN