Deuteronomy 9:1
Si Kwa Sababu Ya Haki Ya Waisraeli
(Kutoka 32:1-35)
1 aSikiliza, ee Israeli. Sasa mnakaribia kuvuka Yordani mwingie na kuwafukuza mataifa makubwa na yenye nguvu kuliko ninyi pamoja na miji mikubwa yenye kuta zilizofika juu angani.
Copyright information for
SwhNEN