Deuteronomy 5:2-4
2 aBwana Mungu wetu alifanya Agano nasi katika mlima wa Horebu. 3 bSi kwamba Bwana alifanya Agano na baba zetu, bali alifanya nasi, nasi sote ambao tuko hai hapa leo. 4 cBwana alisema nanyi uso kwa uso kutoka moto juu ya mlima.
Copyright information for
SwhNEN