‏ Deuteronomy 5:16-20

16 aWaheshimu baba yako na mama yako, kama Bwana Mungu wako alivyokuagiza, ili siku zako zipate kuwa nyingi na kufanikiwa katika nchi Bwana Mungu wako anayokupa.
17 bUsiue.
18 cUsizini.
19 dUsiibe.
20 eUsimshuhudie jirani yako uongo.
Copyright information for SwhNEN