‏ Deuteronomy 34:8

8 aWaisraeli wakaomboleza kwa ajili ya Mose kwenye tambarare za Moabu kwa siku thelathini, mpaka wakati wa kulia na kuomboleza ulipopita.

Copyright information for SwhNEN