‏ Deuteronomy 34:7

7 aMose alikuwa na umri wa miaka mia moja na ishirini alipofariki; hata hivyo nguvu ya macho yake haikufifia wala mwili wake haukudhoofika.
Copyright information for SwhNEN