‏ Deuteronomy 34:6

6 aMungu akamzika huko Moabu, katika bonde mkabala na Beth-Peori, lakini hakuna ajuaye kaburi lake lilipo mpaka leo.
Copyright information for SwhNEN