‏ Deuteronomy 34:1-3

Kifo Cha Mose

1 aKisha Mose akaupanda mlima Nebo kutoka tambarare za Moabu mpaka kilele cha Pisga, ngʼambo ya Yeriko. Huko Bwana akamwonyesha nchi yote: kutoka Gileadi mpaka Dani, 2 bNaftali yote, nchi ya Efraimu na Manase, nchi yote ya Yuda mpaka bahari ya magharibi,
Yaani Bahari ya Mediterania.
3 dNegebu na nchi yote kuanzia Bonde la Yeriko, Mji wa Mitende, hadi Soari.
Copyright information for SwhNEN