‏ Deuteronomy 32:37-38

37 aAtasema: “Sasa iko wapi miungu yao,
mwamba walioukimbilia,
38 bmiungu wale waliokula mafuta ya dhabihu zao
na kunywa mvinyo wa sadaka zao za vinywaji?
Wainuke basi, wawasaidie!
Wawapeni basi ulinzi!
Copyright information for SwhNEN