‏ Deuteronomy 32:26-27

26 aNilisema ningewatawanya
na kufuta kumbukumbu lao
katika mwanadamu.
27 bLakini nilihofia dhihaka za adui,
adui asije akashindwa kuelewa,
na kusema, ‘Mikono yetu imeshinda;
Bwana hakufanya yote haya.’ ”
Copyright information for SwhNEN