‏ Deuteronomy 32:20

20 aAkasema, “Nitawaficha uso wangu,
nami nione mwisho wao utakuwa nini,
kwa kuwa wao ni kizazi kilichopotoka,
watoto ambao si waaminifu.
Copyright information for SwhNEN